 |
Kuhesabu wanyama na mimea |
 |
Utafiti juu ya uhamaji |
 |
Kuwapiga sindano za ganzi(nusukaputi) wanyama wa aina zote, pia kuwasafirisha kitaalamu |
 |
Kuwahamisha wanyama mmoja mmoja au kwa makundi |
 |
Kuwawekea wanyama vipimo vya uchunguzi tokea mbali |
 |
Kupiga plani na kujenga uzio wa wanyama pori |
 |
Tiba na uzuiaji magonjwa (kampeni za chanjo, uzuiaji wa magonjwa ya kuambukiza, tiba ya wanyama) |
 |
Fikira fika juu ya ujengaji wa bustani za wanyama pori au ranchi. |
 |
Elimu ya mazingira |
 |
Matumizi bora kwa utalii |
 |
Utalii unaoyajali mazingira |
 |
Kutayarisha mipango ya uendeshaji na uongozi wa mbuga za wanyama, hifadhi za taifa na ranchi za wanyama pori |
 |
Ushauri wa aina zote na misaada kuhusu ufugaji binafsi wa tembo na vifaru kama vile waishivyo porini |
 |
Kutoa msaada kwenye kutafuta wataalamu wa menejimenti ya wanyama pori |