Kikundi chetu kina wataalamu wenye ujuzi na uzoefu wa miaka mingi katika fani mbalimbali.
Twataka kutaja zile muhimu kabisa:
|
|
&Mac183; Mwanzilishi na mkurugenzi ni daktari wa wanyama. Yeye hasa ni mtaalamu wa wanyama pori na menejimenti. Ana ujuzi wa miaka 16 Afrika katika kazi ya kutunza wanyama, mkurugenzi wa "Hifadhi ya Taifa", mwalimu wa wafanyakazi wa hifadhi na mshauri wa serikali Afrika Mashariki na Kati.
Mjua mengi na "baba wa tembo" |
 |
|
|
&Mac183; Daktari wa wanyama mwanamama mtaalamu wa nusukaputi, usafirishaji, na uhamishaji wa wanyama pori, pia uzuiaji wa magonjwa ya kueneza (epidemia) na magonjwa mengine.
Daktari
|
 |
|
|
&Mac183; Mtaalamu wa misitu ambaye ana ujuzi wa manufaa ya wanyama pori, ranchi na ufugaji. Mtaalamu mwenye sifa.
Mtaalamu wa misitu, wanyama pori, mali asili na menejimenti |
 |
|
|
&Mac183; Mtunza wanyama mwenye uzoefu wa miaka 40 kama mkurugenzi wa mbuga za wanyama na hifadhi za taifa Afrika Mashariki
Mtaalamu wa usalama |
 |
|
|
&Mac183; Bwana mwenye ranchi ya wanyama pori na ujuzi mwingi kwenye uchumi kuhusu kupanga na kutekeleza, kuhesabu wanyama, kubuni na kujenga uzio wa kuwafaa wanyama pori.
Bwana fundi |
 |
|
|
&Mac183; Mtaalamu wa geologia mwenye utaalamu wa kuwinda, mambo ya mazingira na meneja wa ranchi binafsi yenye mafunzo na sehemu ya utalii.
Mtaalamu wa utalii |
 |
|
|
&Mac183; Daktari kwenye fani ya wanyama wa sehemu kavu (k.m. ngamia, twiga wadogo, choroa na pofu). Kuwakamata na kuwasafirisha, ukaguzi na umilikaji wa idadi ya wanyama. Zaidi ya hapo kuchunguza uambukizanaji magonjwa kati ya wanyama pori na mifugo ya kawaida.
Bwana mbuga na majangwa |
 |
Kundi letu ni la kimataifa na linatumia lugha mbalimbali.
Wenye kuhusika wanatoka nchi zifuatazo:
Ujermani
Kenya
Zimbambwe
Italia
Namibia